Some funny stuff writen behind long distance trucks in Kenya.

1.Ukitaka kujua vichochoro, kula
nauli".....
2.If am slow, why are you behind
me!!
3.L.H.D
Labda Haina Dereva.
4.Shimo ni shimo ya nyoka ndio
mbaya
5.Ukitaka kuolewa kuwa tayari kulala
bila Chupi"...
6.mjini lami tupu jembe la nini
7.Ata nyanyako alikuwa mrembo
kukuliko
8.When I grow up I want to be a
train
9.Do not wash,this vehicle is
undergoing a
scientific dirt test
10.mjini ya bure ni salamu pekee
11.Is stealing a Bible sin?
12.Usikaribie saa ingine hurusha
mateke.